Taarifa za Habari

Radio Kicheko Live inatambua kuwa wewe msikilizaji wetu ungependa sana kufuatilia taarifa zetu za habari kila zinaporuka hewani lakini hilo haliwezekani kwa sababu ya majukumu ya kikazi na biashara na pengine safari.

Kwa sababu hiyo Radio Kicheko Live imekuandalia hazina ya taarifa za habari katika mfumo wa “podcast” ili uweze kuzisikiliza wakati utakapokuwa na nafasi. Kwa kuwa habari ni nyingi na zinazalishwa kila siku na pia habari hupoteza maana zikikaa kwa muda mrefu, taarifa mpya zitawekwa kila siku na za zamani zitaondolewa kila baada ya siku 7.

Zifuatazo ni taarifa za habari zilizorushwa hapa Radio Kicheko Live:

Jumatatu tarehe 25 Mei 2020
Jumapili tarehe 24 Mei 2020
Jumamosi tarehe 23 Mei 2020
Ijumaa tarehe 22 Mei 2020
Alhamis tarehe 21 Mei 2020
Jumatano tarehe 20 Mei 2020
Jumanne tarehe 19 Mei 2020Current track

Title

Artist

Background