Mtaalamu wetu – Mazingira

Presented by Zawadi Mchome

Scheduled on

Friday 20:15 21:00
Saturday 14:00 15:00

Mtaalamu wetu - Mazingira

Tagged as: , ,
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya mazingira pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.

Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya mazingira. Wataalamu wa mambo ya mazingira watakuwa na muda wa kuelezea shughuli zao na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja za wasikilizaji.


Read more

Podcast of previous episodes

Sorry, there is nothing for the moment.

Related news


Mtaalamu wetu – Mazingira team

Sorry, there is nothing for the moment.

Mtaalamu wetu – Mazingira crew

Sempanga Zawadi Mchome ni mwandishi wa habari mzoefu mwenye uwezo wa kuandaa vipindi na kutangaza.


Current track

Title

Artist

Background