Mtaalamu Wetu – Afya

Presented by Dajari Mgidange

Scheduled on

Monday 20:15 21:00
Tuesday 14:00 15:00

Mtaalamu wetu - Afya

Tagged as: ,
Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya afya pamoja na kujibu maswali ya wasikilizaji.

Majadiliano kuhusu mambo ya msingi katika masuala ya afya. Wataalamu wa mambo ya afya watakuwa na muda wa kuelezea shughuli zao na namna zinavyoweza kumnufaisha msikilizaji. Baada ya hapo utafuata muda wa kujibu hoja na maswali ya wasikilizaji.


Read more

Podcast of previous episodes

Sorry, there is nothing for the moment.

Related news


Mtaalamu Wetu – Afya team

Sorry, there is nothing for the moment.

Mtaalamu Wetu – Afya crew

Dajari Mgidange ni mwandishi wa habari anaechipukia mwenye uwezo wa kuandaa vipindi na kutangaza.


Current track

Title

Artist

Background