Matangazo

Radio Kicheko Live inapokea matangazo yafuatayo:

Matangazo ya Biashara
Biashara ni matangazo. Ukitangaza biashara yako kupitia Radio Kicheko Live unakuwa na uhakika wa kusikika na kutambuliwa na watu wengi zaidi mkoani Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Kusini mwa Kenya. Radio Kicheko Live ni radio makini na inasikilizwa sana na watu makini ambao wanaweza kuwa wateja wako wakubwa. Matangazo ya biashara ni pamoja na “spots”, “casual” na “udhamini wa vipindi”. Kwa maelezo zaidi kuhusu matangazo ya biashara piga simu namba +255-715-210113 au tuma email radio@kicheko.com

Matangazo ya Vifo
Kama una taarifa ya msiba ambayo ungependa iwafikie watu wengi zaidi kwa muda mfupi tunakukaribisha kupakua fomu ya matangazo ya vifo inayopatikana HAPA. Jaza fomu, lipia tangazo, na litume kwa whatsapp kwenda +255-715-210113, email: radio@kicheko.com, au lipeleke Kicheko Internet Cafe, Moshi. Maelezo ya namna ya kulipia yako kwenye fomu.

Matangazo ya Upendo
Radio Kicheko Live inakupa nafasi kuwakumbuka, kuwapongeza na kuwasalimu wale uwapendao wakati wakiadhimisha siku yao ya kuzaliwa (birthday), harusi (wedding anniversary), kuhitimu (graduation) nk. Pakua fomu ya matangazo ya upendo inayopatikana HAPA. Jaza fomu, lipia tangazo, na litume kwa whatsapp kwenda +255-715-210113, email: radio@kicheko.com, au lipeleke Kicheko Internet Cafe, Moshi. Maelezo ya namna ya kulipia yako kwenye fomu.Current track

Title

Artist

Background

You cannot copy content of this page