Taarifa za Habari

Radio Kicheko Live inatambua kuwa wewe msikilizaji wetu ungependa sana kufuatilia taarifa zetu za habari kila zinaporuka hewani lakini hilo haliwezekani kwa sababu ya majukumu ya kikazi na biashara na pengine safari.

Kwa sababu hiyo Radio Kicheko Live imekuandalia hazina ya taarifa za habari katika mfumo wa “podcast” ili uweze kuzisikiliza wakati utakapokuwa na nafasi. Kwa kuwa habari ni nyingi na zinazalishwa kila siku na pia habari hupoteza maana zikikaa kwa muda mrefu, taarifa mpya zitawekwa kila siku na za zamani zitaondolewa kila baada ya siku 7.

Zifuatazo ni taarifa za habari zilizorushwa hapa Radio Kicheko Live:

Jumanne tarehe 25 Februari 2020
Jumatatu tarehe 24 Februari 2020
Jumapili tarehe 23 Februari 2020
Jumamosi tarehe 22 Februari 2020
Ijumaa tarehe 21 Februari 2020
Alhamis tarehe 20 Februari 2020
Jumatano tarehe 19 Februari 2020Current track

Title

Artist

Background